Sehemu hii inawahusu watu wamiliki wavituo vya kutolea huduma za afya wanaohitaji vituo vyao viidhinishwe na mfuko ili kutoa huduma kwa wanachama wake. Aidha, kwa watu ambao tayari walikwisha anza kujaza taarifa za vituo vyao kupitia mfumo huu na kupata nambari ya ombi wanatakiwa kubonyeza kipengele cha “Endeleza Ombi”
Sehemu hii inahusu watu ambao tayari walikwisha anza kujaza taarifa za vituo vyao vya kutolea huduma kupitia mfumo huu na kupata nambari ya ombi. Aidha, kwa watu ambao hawa kujaza taarifa yoyote kupitia mfumo huu wanatkiwa kubonyeza kipengele cha “Ombi Jipya”
Sehemu hii ni kwa ajili ya watu wanaotaka kufuatilia hatua mbalimbali za maombi yao